Msafishae Mswatae Ft. Arif & Jay
Ka msafishae ame vai eeiy mswatae
Si hivi ndio huwa inadai mswatae ndani ya ndae
Si hivi ndio huwa inadai mswatae ndani ya ndae
Si hivyo ndio huwa inadai
Si hivyo ndio huwa inadai
Si hivyo ndio huwa inadai ndani ya ndae
Ati maua kanachuna kanataka tu kichuma
Maua kanachuna na kako sides tu za Ukunda
Nilinyanya tu za Juja kaliwacha tu mashuksha
Kako ndani ya mkunga kako ndani ya mkunga
Naskia unaugua Maradhi nishaijua
Ningependa nikutibu nishapenda io jibu
Ka msafishae ame vai eeiy mswatae
Si hivi ndio huwa inadai mswatae ndani ya ndae
Ka msafishae ame vai eeiy mswatae
Si hivi ndio huwa inadai mswatae ndani ya ndae
Si hivo ndio huwa inadai
Si hivo ndio huwa inadai
Si hivo ndio huwa inadai ndani ya ndae
Nafanya vile nadai sifanyi vile unadai
Ntafanya uzirai niko rada sizubai
Kuna kitanda Kenya mbona Dubai
Mbona nikupeleke Dubai kitu safi ndo nawai
Naibembeleza ka mayai nakam naishia sikai
Designer origi ka si hivyo sivai
Binadamu ni ngumu kusema bye
Surprise nafanya vitu sikai
Wasee wengi wana deni sijai dai
Kuna gari nadai bike sijai buy
Ka msafishae ame vai eeiy mswatae
Si hivi ndio huwa inadai mswatae ndani ya ndae
Ka msafishae ame vai eeiy mswatae
Si hivi ndio huwa inadai mswatae ndani ya ndae
Si hivo ndio huwa inadai
Si hivo ndio huwa inadai
Si hivo ndio huwa inadai ndani ya ndae
I just wanna find someone coz you when you do the whine
Move gal coz you hold me tight