HATUTAINAMA BY UNSPOKEN SALATON FT. MOTI & GIBO
Hatutainama
Hatutainama
Hatutainama
Tuko sure Leo tunakula nyama
Hatutainama
Hatutainama
Hatutainama
Tuko sure Leo tunakula nyama
Nafika tunapakua tunakula hatukai sana
Kama umenitambua unatumanga kwa hii number
Siumanga tuite sherehe kinakuramba
Juu either way we made a vow hatutainama
Niko sure Leo nitakula nyama
Chali kwa dem leo tunaguzananga
Hatudai wanna gibo na one man
Siuchafua tukijuanga
Hatutainama
Hatutainama
Hatutainama
Tuko sure Leo tunakula nyama
Hatutainama
Hatutainama
Hatutainama
Tuko sure Leo tunakula nyama
Nguo za wadhii tulishazinaua
Masaa ya kungara kila mtu sianajua
Mi naingia mahali kuna sherehe na sitaki kujua
Nachukua sahanı na Kwanza naenda na pakua
Ni ile siku harufu tamu zimejaa kila area
Ile sherehe moja upigangwa end year
Ukiniwish poa nakuwish poa nawe pia
Comrade amefurahia juu leo pia
Hatutainama
Hatutainama
Hatutainama
Tuko sure Leo tunakula nyama
Hatutainama
Hatutainama
Hatutainama
Tuko sure Leo tunakula nyama
Niko kwa jirani na anauliza ka ntakula na Amepika nyama
Mi nampiga yes moja safi bila haya
Na suffocate mbili hii moja ni ya kibro
Lakini hayuko hapa leo nafinya fiti
Ndio nikirudi crib nisisandore na supper
Leo nadunga fity ndio nikifika gate nisithagore kisoldier juu juu
Hatutainama
Hatutainama
Hatutainama
Tuko sure Leo tunakula nyama
Hatutainama
Hatutainama
Hatutainama
Tuko sure Leo tunakula nyama