Песня Kifo в исполнении Rayvanny - слушать онлайн в хорошем качестве или скачать трек в Mp3 бесплатно на ПК или телефон.
3:33 MP3, 5.1MB, 192kb/s
Текст песни Rayvanny - Kifo
Kifo
Kifo
Kifo Oh!
Kifo
Kifo
Kifo Oh!
Nuru imepotea mbele atuoni, giza!
Kila kona machozi masikitiko oh!
Mmh! Nafsi za nyong'onyea uzuni moyoni unaumiza
Kitabu kizuri ndio ukurasa ya mwishooo
Vizuri havi dumu nenda magufuli umetimiza majukumu baba
Vizuri havidumu nenda jembe letu!
Kuacha mabarabara, maosipitali, wananchi ulivyo wajali
Masikini wakila hali magufuli wetu
Upendo kwa wasani kila mahali ulifurahi nasi ukutajli
Zile kufia kumbukumbu umefunga safari magufuli wetu
Kina mama atawafuta nani machozi
Wafungwa ulio wasamehe atawafuta nani machozi
Navijana atatufuta nani machozi
Wazee, Wazee
Atawafuta nani machozi!
Umeacha alama kumbukumbu isio futika
Pengo lako magufili sidhani kama litazibika
Moyo unalalama sisi bado twauzunika
Umefanya kazi ngumu shujaa basi nenda kupumzika jembe letu
Kifo!
Kifo!
(Kifo Oh!) Kwanini kifooo?!
Kifo!
Kifo! (Unachukua wema tu unachukua mashujaa kifoo)
kifo! (Kifo kifo) hauna! (kifo) hauna! (kifo) hauna!
(kifo) hauna huruma!